![unnamed (14)](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sEqHRUrLFqukDfGJhYocMqevNEpKXk1Y2YCrjCOMHFq_yIaSslwQA-uOzZ7_R7bbGkLN1teC-s1Qy31zOkPKezzE57e3BNjBB6RvY2j1R7B3BSmPjdcfv2bvDomE9g2O2p2bdGWrhUXHYUtdrDc9sMG2_rYiTq_9eAdw=s0-d)
Foleni
za Dar es salaam na matatizo yake imekua sio stori mpya tena ila ujenzi
wa mradi wa mabasi yaendayo haraka pamoja na hiki kivuko ndio habari ya
mjini ambapo leo kuna stori imetoka ikiwa ni good news kuhusu hiki
kivuko kipya.
Kwenye Blog ya
issamichuzi.blogspot.com
kuna taarifa kuhusu kutua kwa kivuko cha Mv. Dar es Salaam ambacho
kitakuwa kinafanya safari kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo kama
inavyoonekana kwenye hizi picha.
![Waziri wa Ujenzi John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wakisubiri kivuko hicho kushushwa bandarini Dar.](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_unHl4cnw6py7VBBh4wywvd1WVfZ2vi84KtQ9pPDc2y0Li09kxofZehIzcf0nKDbleTs18QHz5-O39_orsteRy_cF1YJNgKrHjdsdU2qYdgRXP8Z-8TyGywmb118ssc_5-mKBnnaa5W5NZzSGR3ncSNT1gtRUKh6h5C5iZk=s0-d)
Waziri wa Ujenzi John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wakisubiri kivuko hicho kuwasili bandarini Dar.
![Kivuko cha Mv Dar es Salaam kikiwasili Dar leo Novemba 17.](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_srHrfN1sFH39OeA2VetztsYBrWMVKC2xSuAUsGwkI3ylUPdcmAgiAEaso93D1rBRLTzFy6GpLVIEKLJmxQeVK7f5aS9_mKwVKk9ihpl-cU_dREfvv_ENXRpF-MCCHCpgs1_QVhXSVMacr3M8Uygx2indfWYp-Y5RSaxA=s0-d)
Kivuko cha Mv Dar es Salaam kikiwasili Dar leo Novemba 17.
![Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri Magufuli wakipewa maelekezo na Injinia Japhet Masele.](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tCATKGSI-NQLjGIJTZzMycTer9dGDbZ-jNiuhgTYl4_5U9gJYPMf26l2MNj_WZAc7A0z_Df4jDnAb5D8Wxcq12bCN8I-g7pHhWkAkCgqvkMVGV_rseKlUoNx3hlIE2mTb_ULXj81z6Nn35lMm6hNdroeIAMaawdXChfQ=s0-d)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri Magufuli wakipewa maelekezo na Injinia Japhet Masele.