Kupitia ukurasa wake wa Facebook nguli wa TAKEU style na muziki Tanzania
Mr Nice amefunguka na kulalamikia gazeti la Mwananchi ambalo
limechapisha habari anazo kanusha na kusema si kweli bali wanamchafua.
Mr Nice amefunguka kama ifuatavyo:
Tuesday, November 18, 2014