Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya
Ofisi ya CCM Mkoa Amani alipohudhuria katika mkutano wa Mabalozi wa Mkoa
wa Magharibi Unguja akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi katika Mikoa ya Unguja,
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya
Ofisi ya CCM Mkoa Amani alipohudhuria katika mkutano wa Mabalozi wa Mkoa
wa Magharibi Unguja akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi katika Mikoa ya Unguja
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Mabalozi waliofika
kumpokea alipowasili viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa Amani alipohudhuria
katika mkutano wa Mabalozi wa Mkoa wa Magharibi Unguja akiwa katika
ziara yake ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mikoa ya Unguja,
Baadhi ya Mabalozi wa
CCM wa jimbo la Kwamtipura wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein alipokuwa akihutubia Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa
Maskani katika Mkoa wa Magharibi Unguja katika ukumbi wa CCM MKoa Amani
leo,
Baadhi ya Mabalozi wa
CCM wa majimbo mbali mbali ya Mkoa wa Mgharibi wakiwa katika mkutano
wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkoa wa Magharibi Unguja
katika ukumbi wa CCM MKoa Amani leo uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein,

CCM wa jimbo la Mpendae wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali

leo