Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada
ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland
alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume
wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo
Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. …
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada
ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland
alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume
wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo
Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins
iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada
ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi
tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na
ushauri. Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi.