Kambi ya Lowassa Yameguka, Sophia Simba na Nchimbi Kumuunga Mkono Dr. Magufuli





Sophia Simba: Ameamua kumuunga mkono Dr Magufuli: Msimso huo umetolewa na Amina Makilagi

Wameandaa hafla ya kumpongeza mgombea mwenza Samia Suluhu

Mh Nchimbi: Yeye alitoa pongezi kwenye ukurasa wake wa facebook, kumuunga mkono.




Aliyegoma kumuunga mkono ni kimbisa ambaye alikuwa kwnye mashauriano na Mh Lowassa.

Kumbe wote hawa walikuwa wachumia