Madawa ya kulevya yamekua tatizo kubwa sana linaloisumbua jamii duniani kote, vijana wazee, wanawake, wanaume kwa watoto wote wamekua waathirika wa athari ziletwazo na madawa ya kulevya. Wengi wamefungwa jela kutokana na kukamatwa wakiwa wanajihusisha na kuuza, kusambaza au kutumia dawa hizo.
Unaweza soma : Diamond aamua kuiacha BMW X6 yake na kupanda Bajaji. Cheki video hii hapa
Mpya ni kumhusu mzungu huyu ambae kafungwa jela nchini Kenya kwa kosa la kukamatwa akiingiza madawa ya kulevya nchini humo. Alihukumiwa mwaka 2007 na hadi leo bado yupo gerezani huku akiwa kabakiza miaka 14 ili aweze kuachiwa na kua huru tena.
Unaweza soma :Ali Kiba acopy beat ya Matonya na kuitumia kwenye wimbo wake mpya wa Chekecha cheketua, ushahidi huu hapa.
Moses Joakim na Degree ya Electrinic Engeneer na kutokana na uwezo mkubwa wa kurekebisha umeme pale kunapotokea tatizo ameweza kupata cheo cha Chief Engeneer katika gereza la Naivasha ambalo anatumikia kifungo chake hicho.
Unaweza kutazama video ya Maisha ya Moses akiwa gerezani.